Kilorang

Kilorang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walorang kwenye kisiwa cha Koba. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kilorang imehesabiwa kuwa watu 220 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilorang iko katika kundi la Kiaru.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search